in the future - u will be able to do some more stuff here,,,!! like pat catgirl- i mean um yeah... for now u can only see others's posts :c
Mkulima Smart Initiatives ni watengenezaji wa Economy Chicken CAGES.
Economy chicken CAGES ni mfumo wa vichanja unaofaa kufugia kuku aina ya Kuku chotara, kuku wa mayai Layers na kuku wa nyama BROILERS.
Mfumo huu unaanza kufugia vifaranga wa siku moja mpaka anakuwa kuku mkubwa.
Kwasasa tunafanya ujenzi wa ECONOMY CHICKEN CAGES mikoa yote Tanzania 🇹🇿. Cages zinajengewa shambani kwa mteja.
Ukitaka kupata maelekezo kamili karibu ofisini kwetu Dodoma au kupata mafunzo zaidi:-
1.Ingia YouTube Mkulima Smart TV
2.Ingia YouTube Shamba Darasa TV
Au tupigi simu/WhatsApp us +255 713 178 868.
Karibu kwa huduma nzuri wakati wote.
#batterycage
#poultryfarming
#poultryfarmingequipment
#chickencages
#kukuwamayailayers
7 - 0
MKULIMA SMART INITIATIVES ni kampuni binafsi iliyoanzishwa na Ndugu Engineer Honoratus Salvatory. Ambaye ndiye mkurugenzi mtendaji.
DIRA: Kuona kila mtanzania akipata chakula cha kutosha,salama na chenye viini lishe muhimu.
MOTO: KILIMO MIFUGO NI BIASHARA
Malengo:
1. Kutoa taarifa muhimu za chakula kama vile bei za vyakula masokoni,hali ya hewa n.k
2.Kutoa mafunzo kwa njia ya semina,kozi fupi,makongamano,warsha na mashamba darasa
3.Kutoa huduma ya ushauri na ugani kwa wakulima,wafugaji na watanzania wote kwa ujumla ili kuzalisha chakula cha kutosha na kwa gharama nafuu.
4.Kusimika miundo mbinu mbalimbali ya kilimo na ufugaji kwa ajili ya mashamba darasa.
Ili kufikia malengo hayo njia zifuatazo zitatumika:-
Kutumia TEHAMA/ICT kama kifaa muhimu cha kupeleka tahaarifa kwa walengwa kama vile:-
1.Mitandao ya kijamii facebook,Youtube,whatsup n.k
2.Radio za kijamii na televisheni
3.Tovuti
4.Majarida na vijitabu.
Call/Whatup +255 713 178 868
Email:mkulimasmart.net@gmail.com
Website