Channel Avatar

JOACK Animal Clinic @UCqbJH3Qeg_lgApmx4mqInhA@youtube.com

434 subscribers - no pronouns :c

JOACK Animal Clinic ni kituo kinachotoa huduma ya matibabu k

Welcoem to posts!!

in the future - u will be able to do some more stuff here,,,!! like pat catgirl- i mean um yeah... for now u can only see others's posts :c

JOACK Animal Clinic
Posted 4 weeks ago

JOACK ANIMAL BOARDING | HUDUMA YA KUTUNZA WANYAMA WAKATI MUHUSIKA HAYUPO.

Call/Text/WhatsApp: +255 714 636 375

@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic

Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)

Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo

JOACK Animal Clinic @joackanimalclinic inatoa huduma ya kutunza/kulea wanyama mbalimbali (pet animals) pindi mmiliki hayupo.

Inawezekana umepata safari au dharula lakini hauna mazingira salama ya kumuacha mnyama wako, tunashauri uwasiliane nasi ili utukabidhi hiyo dhamana ya kuhakikisha usalama wa mnyama wako.

Ni muhimu sana kuhakikisha unamuacha mnyama wako sehemu iliyo salama, JOACK Animal Clinic tunauwezo mkubwa wa kuhakikisha usalama na afaya ya mnyama wakati wote.

Utaratibu wa ofisini, Kabala mteja hajakabidhi mnyama, tunahikikisha mnyama ana chanjo zote na kama hana chanjo, mnyama atapata chanjo zote ndipo aendelee na huduma nyingine.

Karibu sana JOACK Animal Clinic, hii ndio sehemu pekee inayo kuhakikishia usalama wa mnyama wako wakati wote.

#joackanimalboarding #animalboarding #boardingyawanyama #animalrescure #hifadhiyawanyama #kutunzawanyama #joackkennel #bodingyawanyama #ufugajiwambwa #utunzajiwambwa #utunzajiwapaka

Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 714 636 375 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63

Email:
info@joack.co.tz

YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac

Website link: joack.co.tz/

#joackcompany #joackvetcenter #mifugotz #mifugo #wauzajiwambwa #kilimo #dogs #tanzania #wauzajiwavifaavyambwa #tanzania🇹🇿 #dodoma #arusha #masaki #mikocheni #mbezibeach #africana #mbweni #baharibeach #ununio

JOACK Company LTD | DSM & Bagamoyo

0 - 0

TUNATOA HUDUMA YA MATIBABU NA CHANJO KWA WANYAMA AINA ZOTE | MBWA, PAKA, NK

JOACK MOBILE ANIMAL HOSPITAL | HOSIPITALI YA WANYAMA

Call/Text/WhatsApp: 0714 63 63 75

@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet

Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)

JOACK ANIMAL HOSPITAL ina madaktari (Vet Doctors) wenye uzoefu wa kutosha kwenye matibabu ya wanyama aina zote

Tunatoa huduma ya tiba na chanjo kwa mifugo | we provide quality and affordable veterinary service

Tuna huduma mbali mbali za mifugo kama:
a) Chanjo (Vaccination) kwa mbwa, paka nk
b) Kuzuia maambukiz ya minyoo na magonjwa ya ngozi kwa wanyama wako
c) Matibabu ya magonjwa kwa wanyama
d) Tunafanya operation kubwa na ndogo
e) Na huduma nyingine zinazo fanana na hizo

Huduma zetu ni bora, wengi ni mashaidi, na tutaendelea kutoa huduma bora siku zote maana furaha yetu nikuona wanyama wana afya bora.

Ushauri: Ni vema kuwachanja (vaccination) wanyama wako na kuwafanyia matibabu stahiki maana kwa kufanya hivyo unalinda afya ya mnyama wako na afya yako, ya familia na jamii kwa ujumla.

Hii ni kwasababu binadamu anaweza kupata maambuki ya vimelea vya magonjwa kutoka kwa mnyama lakini binadamu pia anaweza kuleta maambukizi kwa mnyama pia kitaalamu haya magonjwa yanaitwa zoonotic diseases.

Mfano wa magonjwa hayo ni kama:
a) Rabies (Kichaa cha mbwa) - Virus
b) Helminthosis (Baadhi ya minyoo)
c) Leptospirosis - Bacteria
d) Tuberculosis (TB) - Bacteria

Na mengine mengi

#mobilepetclinic #joackanimalclinic #animaltreatment #animalsclinic #daktariwambwa #hospitaliyawanyama #veternarian #matibabuyambwa #animaldoctor #doctorofanimals #matibabuyambwa

Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement opposite na kota za kiwanda - DSM, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 714 63 63 75(WhatsApp)
+255 692 43 02 63

Email:
info@joack.co.tz

#joackcompany #tanzania #daktariwamifugo #hospitalyamifugo #hospitalyawanyama #animalhospital #matibabuyamifugo #matibabuyawanyama #tanzania🇹🇿 #paka #mbwa #tibayambwa #dogclinic #catclinic #dodoma #madawayamifugo #kituochaafyayamifugo

0 - 0

JOACK Animal Clinic
Posted 4 weeks ago

TUNAUZA SIMBILISI/PIMBI WE SELL GUINEA PIGS - DAR ES SALAAM + MIKOANI

Call/Text/WhatsApp: 0714 63 63 75

@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani

Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)

Simbilisi ni Mnyama mdogo kama panya buku ambae huwa anafugwa na binadamu lakini asili yake ni porini.

Simbilisi anasura kama Sungura au panya buku lakini utofauti wake yeye na Sungura au panya buku yeye hana mkia.

Simbilisi anakuwa mkubwa baada na kupevuka vizuri akiwa na umri wa miezi 3 hadi 5

Simbilisi anabeba mimba kwa muda wa siku 72 was na kuzaa, na anapozaa huweza kubeba mimba nyingine papo hapo.

Simbilisi anaweza kuzaa watoto kuanzia wawili hadi watano kwa mara moja.

Mbali na kuzaa watoto wengi mara nyingi, pia ana tabia ya kupenda kujamiiana sana.

Simbilisi anaweza kujamiiana zaidi ya mara 10 kwa siku, ingawa hufanya hivyo akiwa amejificha sana.

Simbilisi pia, licha ya kuwa na kimo kidogo kama panya buku, ana uwezo wa kumpiga sungura na ujanja wake akakimbia.

Sungura na simbilisi wanaweza kuishi banda moja Wanaishi banda moja lakini tahadhari ni kwamba simbilisi ni mkorofi.

Simbilisi hupenda kukaa kwenye mashimo na anapenda hali ya joto ndiyo maana mara nyingi huwa amejikunyata.

Somo linalofata tutaeleza faida za #simbilisi Kwa wanaojua faida za simbilisi karibuni napenda kuona comments zenu

#simbilisi #pimbi #sili #guineapig #ufugajiwasimbilisi #tunauzasimbilisi #panya #panyawamahabara #wanyamawamahabara #labanimals #simbilisiwanauzwa

Office zetu zipo Tegeta, @Wazohill-Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 714 63 63 75
(WhatsApp)
+255 692 430 263

Email:
Info@joack.co.tz

YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac

Website link: www.joack.co.tz/

Google location: maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7

#joack #joackcompany #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #ufugaji #kuku #broiler #daressalaam #tanzania #mifugozazibar #vifarangazanzibar #dodoma #tanzania #morogoro

JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO

0 - 0

JOACK Animal Clinic
Posted 1 month ago

TUNATOA HUDUMA YA KUFUNDISHA MBWA MAFUNZO YA AINA ZOTE | WE ARE PROVIDING QUALITY TRAINING FOR DOGS

Call/Text/WhatsApp: 074 636 375

@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet

Tunatoa mafunzo ya aina zote kwa mbwa, kinatakiwa ni mteja kusema anaitaji mbwa wake apewe mafunzo ya aina GANI au anataka mbwa wake awe na tabia zipi

Mfano ya mafunzo tunayotoa kwa mbwa ni:-
1. Kumfundisha mbwa utii
2. Kumfundisha mbwa ukali na mbinu zote za ulinzi.
3. Kumfundisha mbwa kutoa kuwa muharibifu wa kula vitu kama viatu, masofa, nk na tabia ya kuchimba na kuharibu maua.
4. Tunafundisha mbwa tabia ya kunusa vitu na kutambua (snifing).
5. Kumfundisha mbwa wanao pigana mara kwa mara kuto pigana.
6. Mafunzo ya kutokujisaidia ovyo, ndani au nje ya nyumba.
7. Mafunzo ya kumtoa mbwa uoga kama anashindwa ata kubweka.
8. Mafunzo ya kumtoa mbwa ukali ulio pitiliza.
9. Mafunzo ya mahusiano kati ya mbwa na mbwa pia kati ya mbwa na binadam.

Hayo ni machache ila tunafundisha mafunzo ya aina zote za mbwa, kwa ubora wa hali ya juu na kuhakikisha mbwa wako anaiva vizuri ni wewe tu mteja kusema unataka mbwa wako aweje.

WE TRAIN FOR BETTER ACHIEVEMENTS

#tunafundishambwa #wetraindogs #dogtraining #mafunzoyambwa #ufundishajiwambwa #mafunzoyaukali #mafunzoyautii #mbwawaulinzi #mbwamkali #mbwawakali #joackdogtrainigacademy #hudumayakufundishambwa

Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha @twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 714 636 375(WhatsApp)
+255 692 430 263

Email:
info@joack.co.tz

YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac

Website link: joack.co.tz/

Google location: maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9

#joackcompany #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #tanzania🇹🇿 #tanzania #mwanza #rockcity #daktariwamifugo #hospitalyamifugo #hospitalyawanyama #animalhospital #dodoma #matibabuyawanyama #dodoma #animalhospital #doghospital

JOACK TRAINING ACADEMY | WE TRAIN FOR BETTER ACHIEVEMENTS

0 - 0

JOACK Animal Clinic
Posted 1 month ago

JOACK MOBILE ANIMAL CLINIC | HOSIPITALI YA WANYAMA

Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75

Kuhusu JOACK Animal Clinic follow @joackanimalclinic

Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo

Masaa ya kazi kwajili ya matibabu ya mifugo ni 24Hrs (24/7).

JOACK MOBILE ANIMAL CLINIC ni hospitali ya wanyama yenye kutoa huduma za matibabu na chanjo kwa wanyama aina zote.

Huduma yetu inakufikia popote ulipo, unachotakiwa kufanya ni kupiga simu haraka pale tu unapopata changamoto kwa mnyama wako.

Tunatoa huduma ya kutembelea wanyama majumbani kwajili ya chanjo na matibabu.

Pia tunatoa huduma ya ukaguzi wa wanyama (Clinical Examination) bure kama mnyama ataletwa ofisini kwetu.

Madaktari wa mifugo kutoka JOACK Animal Clinic ni kati ya Wataalamu wenye uzoefu wa kutosha na huduma zao ni za uwakika.

Karibu sana JOACK Animal Clinic, hapa ndio sehemu pekee unaweza kupata huduma bora ya kitabibu kwa wanyama wako.

#mobilepetclinic #joackanimalclinic #animaltreatment #animalsclinic #daktariwambwa #hospitaliyawanyama #veternarian #matibabuyambwa #animaldoctor #doctorofanimals #matibabuyambwa

Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement opposite na kota za kiwanda - DSM, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63

Email:
info@joack.co.tz

Website
www.joack.co.tz

#joackcompany #tanzania  #daktariwamifugo #matibabuyamifugo #matibabuyawanyama #tanzania🇹🇿 #paka #mbwa  #tibayambwa #dogclinic #catclinic #dodoma #madawayamifugo #kituochamifugo

JOACK Animal Clinic - DSM BAGAMOYO

0 - 0

JOACK Animal Clinic
Posted 1 month ago

TUNAUZA NYAMA KWAJILI NYA MBWA | CHAKULA CHA MBWA | NYAMA FRESH | DSM | NYAMA ZA KUKU

Call/Text/WhatsApp: +255 714 636 375

@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo

Tunauza nyama fresh kabisa kwajili ya mbwa, nyama zilizopo ni KUKU, NG'OMBE, MBUZI, KONDOO, nk.

Nyama hizi ni nzuri na zinatunzwa vizuri kwenye deep-freezer baada ya kutengeneza, Karibu sana.

#nyamazambwa #chakulachambwa #nyamayangombe #nyamayakuku #nyamakwajiliyambwa #nyamayambuzi #freshmeat #dogfood #mbwawaulinzi #tunauzambwa

Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 714 636 375(WhatsApp)
+255 692 43 02 63

Email:
info@joack.co.tz

YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac

Website link: joack.co.tz/

Google location: maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9

#joackcompay #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #ufugaji #kuku #mabandayambwa #tanzania #morogoro #mwanza #mbeya #daktariwamifugo #dodoma #tanzania🇹🇿 #securitydogs #ufugajiwambwa #germanyshepherd #mbwawakisasa

JOACK COMPANY LTD | DSM NA BAGAMOYO

0 - 0

JOACK Animal Clinic
Posted 1 month ago

TUNAUZA VIFAA VYA MBWA KWA BEI YA JUMLA NA REJAREJA WE ARE SELLING DOG ACCESSORIES RETAIL AND WHOLE SALE.

Call/Text/WhatsApp: +255 714 636 375

@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet

Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)

Tuna aina nyingine nyingi za vifaa kwajili ya mbwa na paka, baadhi ya vifaa vyetu ni:
1. Dog Collar different size
2. Dog ball - different type
3. Dog chain - different size and types
4. Dog leashes - different types
5. Dog harness - different types and size
6. Dog bowl - different types and size
7. Chock chain - different size and types
8. Grooming gloves
9. Retractable leashes - different types and size

Hapo juu tumetaja vifaa vichache tu, lakini tuna vifaa vingine vingi zaidi ya hivyo vilivyo tajwa hapo juu. Vifaa hivi tunauza kwa bei ya jumla na rejareja.

JOACK PET STORE | JOACK ANIMAL CLINIC

#DogCollar #DogHarness #DogLeashes #DogChain #DogCage #dogbowl #dogball #chockchain #dogbelt #dogcollers #petproducts #dogproducts #catsprocts #mikandayambwa #vifaavyambwa #mipirayambwa #vitenesivyambwa #collarzambwa

Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa.

Simu:
+255 714 636 375 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63

Email:
info@joack.co.tz

YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac

Website link: joack.co.tz/

Google location: maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9

#joackcompany #joackvetcenter #mifugo #tunafundishambwa #wauzajiwambwa #matibuyambwa #dogs #dogshop #wauzajiwavifaavyambwa #tanzania #tanzania🇹🇿 #dodoma

Mifugo Tz | JOACK Pet Store | DSM & BAGAMOYO

VYAKULA, VIRUTUBISHO, MADAWA, SHAMPOO, CHANJO NA VIFAA MBALIMBALI KWAAJILI YA MBWA NA PAKA

Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75

@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @joackanimalclinic @joackagrovet

Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)

Ofisi zetu zipo Tegeta Wazo - DSM na Kiromo - Bagamoyo

Karibu JOACK ANIMAL CLINIC, hii ndio sehemu pekee ambayo unaweza kupata mahitaji muhumu kwaajili ya mbwa au paka wako.

Tunauza bidhaa zenye ubora wa hali ya juu zenye kuleta matokeo ya afya bora kwa mbwa wako.

Lakini wapo wa taalamu maalumu kabisa kwaajili ya kukushauri nini kinafaa kwaajili ya mbwa wako.

Baadhi ya vitu unavyoweza kupata JOACK ANIMAL CLINIC
1. Vyakula vya mbwa na paka
2. Virutubisho
3. Tiba lishe kwaajili ya mbwa na paka
4. Shampoo
5. Chanjo na madawa mbalimbali
6. Vifaa vya mbwa
7. Mabanda ya mbwa n
8. Keji za kusafirishia mbwa
9. Sumu za kuuwa wadudu kama kupe, nk

Hiyo ni orodha ya baadhi ya vitu tu, ila kama una changamoto yoyote au unahitaji ushuri usiache kuwasiliana na timu yetu ya wataalamu ili kuhakikisha kila kitu kinakua sawa.

#mbwa #paka #madawa #madawayambwa #madawayapaka #shampoo #shampoozambwa #petshampoo #vifaavyambwa #chanjo #chanjozambwa #madawayamifugo #chanjozapaka

Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63

Email:
info@joack.co.tz

Website
www.joack.co tz

#joackcompany #joackvetcenter #mifugo #mifugotz #kilimo #kilimotz #tanzania #dodoma #daressalaam #morogoro #kuku #tanzania🇹🇿 #joack #kibaha #dukaladawazamifugo #madawayamifugo #mwanza

JOACK Co LTD | DSM & BAGAMOYO

0 - 0