Mwl.salanga ndio mwazilishi wa SUNRISE UJASIRIAMALI NI AJIRA kazi yake kusaidia wajasiriamali kujifunza kutengeneza bidhaa mbalimbali kwa kutumia mtandao wa Whatsapp na telegram
🟥Pia anaweka video za utengenezaji YouTube
Pia Tuna Madarasa mbalimbali kwa Whatsapp
1.Darasa la mchanganyiko ( sabuni ,batiki na Tiles n.k)
2.Darasa la usindikaji (pilipili,tomato sauce ,viungo vya chakula )
3.ubuyu wa vipande
4.Ubuyu wa zanzibar ( vanilla, chocolate na maziwa)
5.Sabuni za tiba ( mwani, kahawa ,manjano ,mchele n.k.)
6.Vijora vya batiki
7.Darasa la ice cream.za aina mbalimbali
8.Darasa la bidhaa za nywele (mafuta ya nywele, leave in conditioner, steaming)
9.darasa la mapishi ya aina mbalimbal
Karibu sana kujifunza kwetu kwa Whatsapp namba yetu 0682456819
Fasad Mohamed salanga
Mkurugenzi wa sunrise ujasiriamali ni ajira
Ahsante sana