Channel Avatar

Mau Mpemba @UCm8urTrd7jsVjNn-W_Qqw3w@youtube.com

99K subscribers - no pronouns :c

KARIBU! enjoy, share & have fun!-- 'Subscribe' Ili kupokea


Welcoem to posts!!

in the future - u will be able to do some more stuff here,,,!! like pat catgirl- i mean um yeah... for now u can only see others's posts :c

Mau Mpemba
Posted 3 years ago

Nipo na Jamaa yangu #mbosso hapa nampa mikoba ya kipemba.

489 - 53

Mau Mpemba
Posted 3 years ago

Katika dua maalum ya kumuombea Almarhum #Maalim Seif Sharif Hamad. Wete Pemba.

251 - 24

Mau Mpemba
Posted 3 years ago

Kama hii ilikupitia..ebu ichungulie halafu tupia neno lako katika coment

23 - 0

Mau Mpemba
Posted 3 years ago

Twarudi..jiandae na ma video 25 tuliorekodi Pembaaa..halafu nisaidieni kumbwambia Makame..aangalie kameraaaaa.

219 - 42

Mau Mpemba
Posted 3 years ago

Kombo kichwa anawasalimia.

161 - 8

Mau Mpemba
Posted 4 years ago

kazi inaendelea...kaa mkao wa kucheka na kujifunza kitu...

124 - 10

Mau Mpemba
Posted 4 years ago

Tukua Pembaaaa twafanya mambongwa! na mindombinu yetu ya kale๐Ÿ˜‚

121 - 3

Mau Mpemba
Posted 4 years ago

Apo vipi ammy? #MauMpemba nacheka na watoto

191 - 24

Mau Mpemba
Posted 4 years ago

musione kimya..nna nyungu jikoni. #maumpemba

282 - 50

Mau Mpemba
Posted 4 years ago

#MauMpemba anakwenda wapi? jibu litapatikana hivi karibu hapa hapa YouTube- endelea kufurahi na kujenga afya yako.

145 - 12