Karibu BelsFarm Kitchen Swahili.
Chaneli hii inahusika na mapishi ya mikate, keki, biskuti, vitafunwa na mapishi mbalimbali kwa ajili ya nyumbani au biashara. Njoo tujifunze jinsi ya kupikia mikate, keki na mapishi mbalimbali kwa njia rahisi mno.
Tafadhali SUBSCRIBE π;
youtube.com/channel/UCkN9yhFK2DMDYU_EdQ3j9qg?sub_cβ¦
Channel yangu nyingine ya mapishi kwa lugha ya kiingereza;
youtube.com/channel/UCi4OqCzsjIlHabNPFxmMz5g