MUONGOZO WA CHANNEL YA MEGA TV ONLINE.
MEGA TV ONLINE Inakupa Updates za burudani na Habari zinazotrend masaa 24 kuwahusu watu maarufu kwenye burudani ya Tanzania na kugusia Nchi Jirani. Sisi kama MEGA TV ONLINE kwasababu tunawafikia watanzania wengi hivyo tunazingatia misingi ya uhariri kwa kufuata :-
-Kuripoti habari kwa kutoa fursa sawa pande zote.
-Kuepuka uchochezi kwa kujiepusha na udine,uteam,ukabira, na mambo yote yanayoweza chochea uchochezi.
-Kuripoti habari za ukweli pia kurekebisha taarifa zilizopotoshwa kwa wafuatiliaji wetu (Subscribers na Unsubscribers) lakini pia kwa Walio Subscribe Channel yetu.
-sisi kama MEGA TV ONLINE huwa tunafuata maoni ya Subscribers wetu hivyo kila mtu ana haki ya kutupa maoni yake na yakafanyiwa kazi.
-lakini pia kwa wake wachochezi kipitia channel yetu ambao wao hutumia Comments za uchochezi kwenye habari zetu tunauwezo wa kuwaondoa ili kuzuia uchochezi.. KARIBU MEGA TV ONLINE HAKIKISHA UNA SUBSCRIBE ILI KUZIPATA UPDATES ZINAZOTREND