Channel Avatar

Shuna's Kitchen @UCaXaogqm-ndd4ofuxERc_kg@youtube.com

431K subscribers - no pronouns :c

Karibuni & Welcome To My Channel. ___________________ Pleas


Welcoem to posts!!

in the future - u will be able to do some more stuff here,,,!! like pat catgirl- i mean um yeah... for now u can only see others's posts :c

Shuna's Kitchen
Posted 3 years ago

MKATE WA TAMBI BILA MAYAI.
Recipe.
Tambi za mchele nusu kilo /grams 500
Tui la nazi lita 1 / vikombe 4 mpaka 4 nusu
Sukari kikombe 1(punguza au engeza ukipenda)
Iliki ya unga Kijiko 1 kidogo
Arki ya vanilla Kijiko 1 kidogo
Maji
Samli

Kwenye hii recipe, unaweza kutumia tambi zozote, isipokua tambi za mchele (nyembamba sana) ni nzuri zaidi. Swipe left kuziona.

1. Weka tambi kwenye sufuria na maji baridi mpaka yafunike tu tambi.

2. Wacha tambi zichemke kwa dakika 2 mpaka 3 tu na uzimwage maji. Usiwache zikachemka sana zikalainika kiasi cha kushikana. Tambi ziwe bado zinawachana (angalia slide ya 3)

4. Baada ya kumwaga maji zitie maji baridi au maji ya bomba ili zisiendelee kupoa.

5. Kwenye sufuria tupu weka tui la nazi, Sukari, iliki na arki. Wacha tui lichemke kwa dakika 2 kwa moto wa kiasi na uweke tambi ulizokwisha zichuja maji.

6. Hakikisha moto ni wa kiasi wacha tambi zichemke mpaka zikauke tui.

7. Chukua trey au sinia ya nafasi ipakaze samli vijiko 2 chini na pembeni.

8. Weka tambi zako uzitandaze vizuri.

9. Chukua samli Kijiko 1 au 2 iyayushe, tumia brush upakaze samli juu ya tambi zako.

10. Oka oven moto 180 moto wa juu na chini mpaka mkate ukauke na upige rangi unayopenda. Unaweza kuokea mkaa.

Kumbuka mkate umeshawiva unatakiwa kukauka na kupiga rangi tu.

Utoe wacha upoe kiasi na upo tayari ku serve.

377 - 16

Shuna's Kitchen
Posted 3 years ago

Assalam alykum. Kwa wale wote waliokua wanaulizia na wangependa kujiunga na darasa letu la vyakula mchanganyiko basi hii ni list ya masomo ambayo tutakua nayo.
Tutakua na masomo aina 10 plus 3 ya offer kwa yule ambae atajiunga nasi.
Haya ni masomo 5, please angalia post nyengine kuona masomo mengine.
Vyote hivo tutavisoma kwenye darasa letu la what'sap kwa njia ya videos.

Darasa litakua muda maalum lakini sio lazima uwe online wakati wa masomo. Unaweza kuingia online muda wowote na kuona masomo yapo vile vile. Kiufupi unasoma kulingana na muda wako.

Ada Tsh 50,000 kwa muda wa mwezi 1.
Au unaweza kubadilisha hiyo hela kwenda kwenye hela ya nchi yako mfano Ksh, pounds, dollars au euros.
Kufanya malipo kindly tumia namba hizi hapa

1. Tigo +255 714 761 928 Soud Marhoun
2. Voda +255768 019 659 Soud Marhoun

Na kisha njoo WhatsApp +447984393302 na msg yako ya malipo pamoja na majina 2 uliyotumia kufanya malipo.

Sio ya kukosa!

175 - 7

Shuna's Kitchen
Posted 3 years ago

Assalam alykum. Kwa wale wote waliokua wanaulizia na wangependa kujiunga na darasa letu la vyakula mchanganyiko basi hii ni list ya masomo ambayo tutakua nayo.
Tutakua na masomo aina 10 plus 3 ya offer kwa yule ambae atajiunga nasi.
Haya ni masomo 5, please angalia post nyengine kuona masomo mengine.
Vyote hivo tutavisoma kwenye darasa letu la what'sap kwa njia ya videos.

Darasa litakua muda maalum lakini sio lazima uwe online wakati wa masomo. Unaweza kuingia online muda wowote na kuona masomo yapo vile vile. Kiufupi unasoma kulingana na muda wako.

Ada Tsh 50,000 kwa muda wa mwezi 1.
Au unaweza kubadilisha hiyo hela kwenda kwenye hela ya nchi yako mfano Ksh, pounds, dollars au euros.
Kufanya malipo kindly tumia namba hizi hapa

1. Tigo +255 714 761 928 Soud Marhoun
2. Voda +255768 019 659 Soud Marhoun

Na kisha njoo WhatsApp +447984393302 na msg yako ya malipo pamoja na majina 2 uliyotumia kufanya malipo.

Sio ya kukosa!

229 - 8

Shuna's Kitchen
Posted 3 years ago

Happy women's day my beautiful Queens 👸 ❤💓

751 - 80

Shuna's Kitchen
Posted 4 years ago

Je ulishajipatia kitabu chako cha cake?
Shuna's Kitchen easy baking book ni kitabu cha cake kinachopatikana kwa lugha ya Kiswahili na English.
Kitabu kina zaidi ya recipe 40 za cake, frosting na sosi za cake.
Kitabu kina vipimo vya vikombe na grams.

Kinapatikana Tanzania 30,000 tsh.
Kenya 1600 ksh.
Oman rial 7.
UK pounds 13.

...na unaweza kupostiwa US, Europe na baadhi ya sehemu nyengine.
WhatsAp kwa maelezo zaidi +447984393302.

255 - 28

Shuna's Kitchen
Posted 4 years ago

Assalam alykum, hello everyone !
Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wale wote waliokwisha kupata copy zao za kitabu chetu kwa support yao na kwa wale wote wanaoendelea kuni support. Mumekua watu muhimu sana kwenye maisha yangu na nazidi kuona umuhimu wenu kila masiku yanavyoenda mbele, asanteni sana.
Asante kwa wale wote mnao repost na kushare details za kitabu pamoja na mawakala, you guys are amazing !
Bado tunajaribu kusambaza vitabu kwa mawakala ambao wamejitokeza, na nitakua na update kila nitakapopata wakala mpya in shaa Allah.
Kama mkoa wako haujapata wakala basi please feel free ku contact mmoja wa wakala wa Dar na ataweza kukupostia.

Kitabu ni cha cake na utakipata kwa tsh 30,000 na kama utahitaji kua wakala bei ya jumla ni tsh 25,000 kuanzia vitabu 5 😊.
Please chagua mapema kama unahitaji cha English au Kiswahili kabla kuletewa.

Mawakala
#Kenya +254772746404
#Omani @Umhaitham_4
+968 99056718
Dar #Kinondoni @nayratcakes +255714459798
Dar #Kariakoo @Sanaysa_collection +255765889191
Dar #Kigamboni +255653796911
#Mwanza mjini Nyerere Road 0754 984929 & 0714 563757
#Tanga 0653300522
#Zanzibar @__.afnan_funni +255 779 796 060
#zanzibar @Mapishi_na_zuu +255773776839
#UK soon in shaa Allah.

UK order au kwa maelezo zaidi kuhusu vitabu please nitumie msg WhatsApp +447984393302
Asanteni sana ❤

770 - 103

Shuna's Kitchen
Posted 4 years ago

Bismillah. Assalam alykum, hello everyone !
Napenda kutoa shukrani zangu kwa wote ambao mlikua na mimi kwenye kutayarisha na kusubiria kitabu chetu hiki cha cake ambacho kina jumla ya recipe 45.. leo hii nina furaha kuwatangazia kua kipo tayari unaweza kujipatia copy yako kuanzia kesho in shaa Allah.
Nimeshaongea mengi sana kwenye post zangu ambazo nilikua nazipost mwezi 1 uliopita wakati nilipoanza kukitambulisha kitabu hiki kwenu.
Leo tu ningependa kumtambulisha huyu mwanamke ambae ndie mtu aliepo nyuma ya page zote za mapishi za Shuna's Kitchen na Jifunze mapishi pamoja na muandishi wa kitabu hichi cha Shuna's Kitchen Easy Baking kilichotafsiriwa na Zeinab Khamis @Zeykhamis
Naitwa Shuna 🙈 Ila wengi mnaniita Shuna's Kitchen na wengine Jifunze Mapishi.. yote hayo majina yangu na tena nayapenda 😃

Naomba mniruhusu kuweka mawakala wa vitabu vyetu ambao kuanzia kesho mnaweza kuwa contact kwa ajili ya kujipatia copy yako kwa elfu 30 tu. Please usisahau kusema kama unahitaji kitabu cha Kiswahili au English kwani vipo tofauti.
Kwa mikoa ya mbali, tafadhali ruhusu muda wa ziada kufika vitabu ili kupata copy yako.
Wa Dar mnaweza kuvipata kesho in shaa Allah.

Mawakala
Dar #Kinondoni @nayratcakes +255714459798
Dar #Kariakoo @Sanaysa_collection +255765889191
Dar #Kigamboni +255653796911
#Mwanza mjini Nyerere Road 0754 984929 & 0714 563757
#Tanga 0653300522
#Zanzibar @__.afnan_funni +255 779 796 060
#zanzibar @Mapishi_na_zuu +255773776839
#UK soon in shaa Allah.
Kwa mikoa ambayo sijaweka mawakala nita update soon au wasiliana na mawakala wa Dar kwa ajili ya kukupostia popote ulipo.
Asanteni sana ❤

707 - 115

Shuna's Kitchen
Posted 4 years ago

Nyoosha mkono kama upo tayari na hii hapa 😋🤚

Raise your hand If you are ready for this one 😋🤚

603 - 87

Shuna's Kitchen
Posted 4 years ago

CHALLENGE TIME!

Kama unafatilia video zangu vizuri unaweza kuniambia huu ni wali wa aina gani ? ni recipe gani nimetumia kupikia huu wali?

Can you tell me what rice is this? Which recipe did I use to cook this rice?

let's goo💃💃💃😋😋

258 - 34

Shuna's Kitchen
Posted 4 years ago

SURPRISE!!! ❤ CAKE LOVERS ONLY. WHO IS READY ?

482 - 53