Kwaya ya Mtakatifu YOHANE PAULO WA PILI (JMC) zamani ikijulikana kwa jina la Kwaya ya Mtakatifu YUDA THADEI. Inayotoa Huduma Katika kanisa la Mtakatifu ANTON WA PADUA, Kanisa kuu jimbo kuu la Mbeya.
HADI SASA INA KAZI ZIFUATAZO,
1.MLIPUKO WA SIFA
2.AMETAMALAKI
3.TETEMEKO
4.KITOTO CHA MBINGU
5.NYIMBO ZA KWARESMA
6. NIGUSE BWANA
Wasiliana Nasi/Contact us Through,
E-mail: johnpaulmbeyachoir@gmail.com
Contact: +255 783 851 920
+ 255 752 252 546