English :
Hello my name is Edson Edwin,
I promote various kinds of bussiness via my channel, forestance mens and womens (clothes and shoes), whereby any individual who subscribes gets a chance to see different updates as long as they subscribe & turn their notifications on, however for those who would like i to promote their bussinesses, am available through +255-715370851
Swahili :
Habari, kwa majina naitwa Edson Edwin, ninakuza biashara mbalimbali kupitia chaneli yangu, mfano wa biashara hizo ni mavazi ya kiume na ya kike ikiwemo (nguo na viatu) ambapo yoyote atakaye subscribe atapata fursa ya kujionea mitindo tofauti tofauti ya mavazi ndani ya muda sahihi, walakini kwa mfanyabiashara atakaye hitaji huduma hii ninapatikana kupitia :
+255-715370851
Karibuni "Pamoja_Shop" uongeze mauzo yako na biashara yako kiujumla