Mchungaji wa Kanisa la Pentekoste Imani na Matendo Tanzania (KAPEIMATA).
Nafanya huduma ya kuhubiri Injili, nahubiri katika mikutano ya Injili.
Pia nafanya huduma ya ushauri, maombi na maombezi ya ana kwa ana na online,
Napatikana Singida mjini mtaa wa Uwanja wa ndege.
......…................................
Kwa ushauri, maombi na maombezi wasiliana nami kwa:
+255 753 305957
Email: kabalama89@gmail.com
Facebook @Mchungaji Kabalama Masatu.
Instagram @mch.kabalama