Channel Avatar

HAPA UJANJA tu @UCP-uHdZMDwll1jAjAPpvvdg@youtube.com

3K subscribers - no pronouns :c

HAPA UJANJA tu👨🏼‍🎓 (KNOW ujanja, NO ujanja🚔)


Welcoem to posts!!

in the future - u will be able to do some more stuff here,,,!! like pat catgirl- i mean um yeah... for now u can only see others's posts :c

HAPA UJANJA tu
Posted 1 day ago

There #Electricalresistance between terminals, 6 and 14, better be 60 ohms, otherwise one of the #CANBUS line end #ECU's is f*ked, should you be getting especially 120 ohms!
#HapaUjanjaTu get more #ujanja👇

www.5021.tips/ujanja/canbus

☝️
For more than #5021Tips #CAN #HowTo #RepairTips #AutoRepairTips #HowItWorks #OBD
#AutoDiagnostics #ecurepair #ECUProgramming

0 - 0

HAPA UJANJA tu
Posted 1 day ago

Huko chini ambapo huoni, lugha pekee ambayo #kompyuta inaelewa ni ya #binary, yaaani hizo 000 na au 111 nying nyingi!
Sasa, wewe unaefanya kazi za #programming, infact #coding, hizo tarakimu nyingi zitakuwa zinakuchanganya, ndio maana walingundua #hexadecimal kukusaidia.
Unaeza kwenda👇

www.5021.tips/ujanja/eepromwork


Hii video ni ya kipumbavu, lakini tumejaribu kuelekeza mengi kuhusu niaje! Ukiwa na muda wa kuharibu, unaeza kutazama hii #videotutorial, otherwise hakuna cha mhimu usiharibu data zako! Wee endelea kutazma tu 0123 bla blaa mpaka F!
#EEPROMdata #EEPROMwork
#5021week #EEPROMweek
#ECUprogramming #KEYprogramming
#programmingtips #codingtips
#5021tips #HapaUjanjaTu

0 - 0

HAPA UJANJA tu
Posted 1 day ago

Huko chini ambapo huoni, lugha pekee ambayo #kompyuta inaelewa ni ya #binary, yaaani hizo 000 na au 111 nying nyingi!
Sasa, wewe unaefanya kazi za #programming, infact #coding, hizo tarakimu nyingi zitakuwa zinakuchanganya, ndio maana walingundua #hexadecimal kukusaidia.
Unaeza kwenda👇

www.5021.tips/ujanja/eepromwork


Hii video ni ya kipumbavu, lakini tumejaribu kuelekeza mengi kuhusu niaje! Ukiwa na muda wa kuharibu, unaeza kutazama hii #videotutorial, otherwise hakuna cha mhimu usiharibu data zako! Wee endelea kutazma tu 0123 bla blaa mpaka F!
#EEPROMdata #EEPROMwork
#5021week #EEPROMweek
#ECUprogramming #KEYprogramming
#programmingtips #codingtips
#5021tips #HapaUjanjaTu

0 - 0

HAPA UJANJA tu
Posted 1 day ago

X, yenye uchawi wa kusoma y1 au y2, ni koili #coil, hata kwenye picha unaona ni🔥moto 😂🤣!
Hii kitu sometimes nayo inachoka, kwamba mda mwingine inaeza kushindwa kusoma #ufunguo, au mda mwingine inasoma uongo, au hadi ipoe ndo iweze #enginestart😏!
Jameni, mteja akilalamika kwamba #carkey yake sometimes ON, sometimes OFF, kabla hizo blaa bla eti #ECU mbovu, mara #keyprogramming, this that, meeeen, think out of that box kucheleesha kazi😢!
Usiruke kagua vitu vidigo vidogo, may be haujui! Sasa #keyprogrammer nae akishindwa, gari inalala milele🤷!
Niiiga, fundi #autorepairtechnician😏, ukishindwa kujiongezea #ujanja, #ujuzi, bhasi, baki uko uko🤮, usije kwetu walevi #maTapeli 👇

www.5021.tips/ujanja/ec

👆☝️
Unajua, sisi tunashugulika na mafala, open-minded kutaka kujua, ukijiona #mjanja usiije ...manyooko!
#usefulapp #autorepairtips #5021tips #cartips #HapaUjanjaTu #controlelectrico #ecurepairs #digitalelectronics #CarKeyProgramming #lostkey #autoelectronics #Autoelectricalrepair #magari

2 - 0

HAPA UJANJA tu
Posted 1 day ago

Katika badhi za magari #Ford, Y kupotea haikatazi injini kuguluma #enginestart 🤷!
#Keyremote Y ni kwa mifumo ya #CarAlarmSystem #DoorLockSystem sio #carimmobiliser #PATS😏!
Naam, #HapaUjanjaTu🧐, usiwe na wasi wasi hata kama taa nyekundu #DashboardLight🚨 inafanyia kazi mifumo hiyo yote🧘!

www.5021.tips/ujanja/fordkeys

☝️👆
Hizo taka taka ni zaidi ya #5021tips #fordtips zilizo na #ujanja wa kushugulikia #fordproblems kwenye #controlsystems za #ufunguo #carkeys #lostkeys #sparekeys #smartkeyprogramming #ecurepairs #ECUProgramming #Autoelectricalrepair #umeme

1 - 0

HAPA UJANJA tu
Posted 1 day ago

Wanaotengeneza #electricalproducts bidhaa zilizo na #electricalsystems mifumo ya kielektroniki za umeme, sio wachoyo🤷!
Wanatoa #wiringdiagrams michoro ya kimkakati ili kukusaidia wakati wa #electricalrepairs kutatua matatizo kwenye bidhaa zao!
So, #HapaUjanjaTu, ni juu yako kuelewa michoro zinaonesha njia ya nyaya za umeme👇

www.5021.tips/ujanja/kusomamchoro

☝️👆
NO! Ushindwe kujiamini eti kwasababu hukwenda shule🤷, in fact ata hakuna shule wanafundisha #ujanja huu! Ni wewe #kujifunza #teachyourself #electricalrepair #repairskills #repairtips #5021tips #diytips #electronicsrepair #fundiumeme #magari #wiringdiagram #howitsdone #vitabu #pdfbooks

0 - 1

HAPA UJANJA tu
Posted 1 day ago

Kwenye dawati lako unafanyia #electronicsrepair, hizo #ecurepairs, mara #ecuprogramming blaa bla za #EEPROMwork, inasaidia kuweka #notebook📖 karatasi & kalamu uandike chochote kinachotokea unapofanya kazi🤷!

www.5021.tips/ujanja/eepromwork

☝️
Ndiyo, #HapaUjanjaTu 😎, kuandika na kufuatilia ulichoandika inakusaidia kufanya utafiti, kujifunza #ujuzi #ujanja zaidi wa #digitalelectronics🧐!

#ONYO🫣, Pombe🍻 kali, pia ni chombo muhimu but #donttrythisathome coz hizi #5021tips ni za hao #wajanja wenyewe 😂🤣😁😅!


Anyway, kumbuka kuandika na kufuatilia! Usiamini kichwa chako kwamba utakumbuka!
Jameni, niamini, kazi unayofanya ikianza kuletea zig zag, ubongo wako unaweza kuyeyuka kama barafu😏! So, be writing down sh*t, seen🤔?
#benchwork #carkeyprogramming #ecucoding #motherboardrepair #carprogramming #eeprom #immoff #ecutuning #electronicsshop #repairtips

0 - 0

HAPA UJANJA tu
Posted 1 day ago

This Vehicles' Electronic Control Systems' Tips Umeme (Diagnose, Troubleshoot, Repair) #App 💻📲 has more than #5021tips summarized to help anyone quickly understand the #controlsystems in today's #computerized #vehicles systems 🤷!

www.5021.tips/ujanja/ec

👆Obviously #HapaUjanjaTu, know #howitsmade so You know #howitworks, then make sense of all the #electricalcomponents #Electricalwiring🤷!
We hope this☝ rubbish be of a guide around all the #ecu's #sensors, #actuators, each #controlunit You find while do #autoelectricalrepairs #umeme wa #magari 👇

www.5021.tips/ujanja/ec

....that even without use an #OBDtool to diagnose #carproblems, hakuna matata, You troubleshoot any troubles , amen!
Vehicles' Electronic Control Systems' Tips Umeme (Diagnose, Troubleshoot, Repair) App💻📲 Jifunze DiY
This rubbish is usable on all platforms 📲💻 #simu #kompyuta tablet nk!


#autoelectrical #autotechnician #autodiagnostics #autoprogramming #autoelectronics #autorepair #cartipsandtricks #cartips #diycartips #diytips

0 - 0

HAPA UJANJA tu
Posted 2 days ago

Labda, ufunguo haujapotea, no #lostkeys, lakini ufunguo umegoma tu kuasha gari, kwamba unahitaji kufanya #ujanja fulani rahisi kwenye huo ufunguo wa #gari zetu za kisasa, ata ukiwa #DIYer ukita kuuda #SpareKey mwenyewe!


Alafu, 😢pole, labda umepeleka gari kwa #fundi, wakafanya matengenezo muhimu, sahihi, lakini wakashindwa kufanya blaa blaa #uchawi fulani inaohitajika kufanywa kwenye gari hizi #moderncars, ya kwamba kuna #DashboardLight zingine zinaonyesha, hata kama gari linatembea vizuri! Sawa, #HapaUjanjaTu👇

www.5021.tips/ujanja/otokeybook

👆
Ni #PDF ata kwenye📲 au #kompyuta💻 hiki kitabu kinafunguka!
#HowTO #DIYtips #jifunze
#KeyProgramming #SpareKeys
#AutoRepairTips #5021Tips
#DIYideas #carownership

3 - 0

HAPA UJANJA tu
Posted 3 days ago

On some few systems, turning key #SwitchON could fully #PowerON the #ECU🤔, otherwise it just pings the #ControlUnit send a negative to the #ECUrelay which relays back real power from the battery! As fully explained here👇

www.5021.tips/ujanja/ecu

☝️
Never mistake the Ignition-ON power for that the ECU is getting power! #HapaUjanjaTu
#ECUrepairs #ECUProgramming #ECUcoding
#AutoRepair #AutoRepairTips #RepairTips
#5021Tips #ECUtuning #KeyProgramming

1 - 0