Kituo hiki kimejitolea kutetea Imani yetu ya Kikristo. Biblia iko wazi inapowaita Wakristo kuwa na ahadi ya ujasiri, isiyoyumba-yumba kwa Kristo.
Tumejitolea kwa utetezi wa kiakili wa ukweli wa dini ya Kikristo. “…mkiwa tayari siku zote kutoa utetezi (msaada) kwa yeyote awaulizaye sababu ya tumaini lililo ndani yenu; lakini fanyeni hivyo kwa upole na heshima” 1Petro 3:15 “Enendeni kwa hekima mbele ya watu walio nje, mkiitumia nafasi hiyo vyema. Maneno yenu yawe na neema siku zote, kana kwamba yakikolea munyu, mpate kujua jinsi mnavyopaswa kumjibu kila mtu” (Wakolosai 4:5-6). "Kwa maana aliwakanusha kwa nguvu Wayahudi waliompinga hadharani, akithibitisha kwa Maandiko kwamba Yesu ndiye Kristo." Matendo 18:28
+255 746 897 96 (WHATSAPP and Mpesa Vodacom) mwalimuchaka@gmailcom
“…always being prepared to give a defense (apologia) to anyone who asks you for a reason for the hope that is in you; yet do it with gentleness and respect” 1 Peter 3:15