No content on this channel :c try Try Looking at shorts maybe lol :p
Imarisha Imani Yako
Tafuta Imani Yako
Tengeneza Imani Yako
Linda Imani Yako
Onja Utamu wa Imani Yako
Allah Amesema: “Mwenye kufanya matendo mema akiwa mwanamme au mwanamke hali ya kuwa ni muumini basi tutamfanya aishi maisha mazuri na kwa hakika tutawalipa huko Akhera malipo yao kwa uzuri zaidi ya yale mazuri waliokuwa wakiyafanya” Qur'ani [16:97]
"Naapa kwa zama, Hakika Mwanadamu (Yeyote) yumo katika khasara (ya kuangamia) isipokuwa wale Walioamini na wakafanya matendo mema, wakausiana kushikamana na haki na wakausiana kushikamana na kusubiri" Qur'ani [103:1-3]
"Hakika wale walioamini na wakafanya matendo mema watakuwa na hizo pepo za Firdaus na mashukio bora, watakaa humo milele na hawatotaka kuondoka" Qur'ani [18:107-108]
Tunamuomba Allah Atupe Mwisho Mwema na Aijaalie Channel hii kuwa ni sadaka yenye kuendelea, Aamin.
Assalaamu Alaikum Warahmatullahi;
Kwa ushauri na maoni:
0773274875/0623602275