Channel Avatar

Mezani @UCHTdV7OUDoCS6Y3jtjT8Qow@youtube.com

2.8K subscribers - no pronouns :c

Mezani ni jukwaa la mtandaoni linalolenga kuongeza ufahamu j


Vitu vyote vina kanuni ya kuzaliana na kuongezeka... pesa nayo ina tabia hii Nimeiuliza Chat GPT hili swali Mwaka mpya unapoanza ni rahisi kuingia kwenye mtego wa kuwa na mipango mingi...#mwakampya Namna bora ya kujitathmini kifedha mwisho huu wa mwaka Utaanza kuiona hela yako siku utakayoanza kuweka akiba asilimia 10 ya kila hela unayopata Weka Akiba asilimia 10 ya kila hela unayoipata Kila mali au shillingi unayoitunza ina uwezo wa kuvuta na kukuzalishia mali ingine Siri ya maendeleo ni kujua namna ya kuvitumia vipaji, rasilimali na mali zetu kutafuta mafanikio Kuwa na mali au rasilimali tu haitoshi Natumiaje kipaji na karama zangu nilizonazo kutafuta mafanikio? Ushawahi kutafakari wewe una karama au kipaji gani? Mtaani kuna mtizamo huu Uzuri wa pesa haina ubaguzi. Yeyote anayezingatia kanuni zake, hubaki nazo Mara nyingi Mali, pesa, cheo na madaraka vinaweza kukupoteza kama usipokuwa makini Kuwa na mamlaka ni sawa na kuwa na fedha nyingi Usipoteze mtandao wa marafiki uliosoma nao Kuwa Na Elimu ya Chuo pekee haitoshi Maisha ya ajira na kujiajiri yana ushindani Bahati mbaya maisha ya baada ya chuo huwa hayafundishwi darasani Kuhitimu chuo ni hatua muhimu sana Pesa siyo kila kitu, lakini kwenye shida ni kitu. Kama sisi tunatawanya Mali, vizazi vyetu vitatawanya mali pia Sisi siyo wasimamizi wazuri wa Mali, na tunaandaa kizazi ambacho hakijui kuisimamia mali. Wazazi wengi wa kiAfrika wanaogopa kuwaachia watoto wao urithi mkubwa Na kazi yako ni kukitunza vizuri kile ulichonacho ili kiendelee kubaki na kusaidia watakaokuja badae Akili ya usimamizi wa mali huifanya mali kuwa ngumu kupotea Ishi Maisha Yako. Usiige Matumizi Ya Mtu. Pesa huikimbia mikono ambayo haina nidhamu ya kuitunza Pesa kila siku inakwambia. Nitunze vizuri leo, nami nitakutunza vizuri kesho. Nidhamu katika matumizi na usimamizi wa fedha zako utakuletea uhuru wa kifedha NENO LA LEO. #umasikini #utajiri #laana Umasiki si laana #umasikini #shorts P. Diddy amekamatwa na vyombo vya sheria. Funzo kubwa hapa ni hili Kuwa mwangalizi na msimamizi wa fedha na mali yenu ni jukumu, wala siyo starehe Hii ndo namna nzuri ya kuiwaza na kuifikiria hela yako na mali zako ulizonazo Ukiwa mtu wa kuwaza sana manunuzi, ni rahisi sana kuwa na matumizi mabaya ya pesa na rasilimali Jukumu letu kubwa ni kuisimamia mali iliyopo vizuri ili mwishoni tuweze kuikabidhi kwa wanaofatia Sasa kama kila kitu tutakiacha, ipi sasa ni maana ya kuwa na umiliki wa vitu vingi? Kila hela au mali yeyote unavyomiliki utaiacha hapa duniani.. Kwakuwa sote tunapita, inabidi tuwe na hekima kuhusu hela tunazozipata Pesa huja na majivuno, hasa ukiipima kwa wingi wa vitu unavyoweza kununua Ili jamii zetu zistawi hazitakiwi ziwaze manunuzi tu Pesa inasaidia kuhakikisha matunzo na uhai wako na wa jamii yako Pesa pia inakupatia mtaji wa kuweza kutimiza ndoto zako Pesa inakupa uhuru wa kuweza kugharamia maisha yako Watu wengi hupata hela nyingi na kuzipoteza haraka Na hivi ndivyo tunavyowaza kuhusu fedha... Mtizamo wetu bado unawaza utajiri kwa jicho la maisha ya gharama na matumizi makubwa