in the future - u will be able to do some more stuff here,,,!! like pat catgirl- i mean um yeah... for now u can only see others's posts :c
Ningependa kuwajulisha kwamba channel yetu itabadilisha jina hivi karibuni na maudhui yatabadilika pia! Kuanzia sasa, badala ya video za Top 10, tutakuwa tukileta mafunzo, tech, tutorials, reaction videos, games, na maudhui mbalimbali. Tunafurahia sana kuwa na nanyi katika safari hii mpya na tunatarajia kuleta mambo mapya na ya kusisimua kwenu. Endeleeni kuwa nasi kwa updates zaidi na tunashukuru kwa sapoti yenu ya daima!
3 - 0
Tunakushukuru kwa uaminifu wenu! Tunapenda kuwajulisha kuwa channel yetu inabadilishwa jina kutoka Gumzoni hadi Swahilixy. Mabadiliko haya yanakwenda sambamba na mwelekeo mpya na maudhui bora zaidi.
Endeleeni kufuatilia Watuzoni kwa maudhui mapya na ya kusisimua! Asante kwa kuwa sehemu ya safari hii!
12 - 0
●Karibu gumzoni! channel yako namba moja kwa Top 10, Burudani, na Habari moto moto. Tunakuletea maudhui ya kipekee na ya kusisimua yanayokupa mtazamo mpya juu ya masuala yanayoendelea.
●Jiunge nasi kwa safari ya kugundua mambo ya ajabu na ya kufurahisha kutoka Tanzania na duniani kote. Usisahau ku-subscribe ili usipitwe na lolote linalotokea #gumzoni