in the future - u will be able to do some more stuff here,,,!! like pat catgirl- i mean um yeah... for now u can only see others's posts :c
Hello vipenzi vyangu mambo vipi
Nashukuru Kwa kuwa na nyinyi Katika chanel hii nzuri ya tiba tafadhali toa maoni , ushauri ,ulizwa maswali pia! Kuhusiana na tiba ! N.k
8 - 5
Guys nawapenda Sana Kama unaswali ushaurii maoni please uliza !
Karibu wasapu 0628806486
Tujadili kuhusu tiba asilia mbaliii mbali 🥰
7 - 4
Hello vipenzi vyangu samahani Sana kwa wale nisio pokea simu zao muda wa kupiga ni usiku sa mbili Hadi sa nne ! 0753125821
8 - 0
Channel hii inakupa elimu ya Afya kwa kutumia njia za asili kabisa utajifunza mambo mengi ikiwemo urembo wa ngozi tiba asili za magonjwa mbalimbali ya ngozi na jinsi yakujitunza ili kuongeza muonekano mzuri kwa wanawake.Pia ni channel inayotoa elimu ya tiba asilia ya matatizo mbalimbali ya kijamii ikiwemo utabibu na unajimu mambo ya nyota na tiba asilia ya matatizo yanayoikuta jamii yetu.Pia ni channel inayotoa elimu ya ushauri wa vyakula bora vya kiafya tiba za asili kwa wanaume na wanawake elimu ya nyota uzito na muonekano mzuri wa mwili wako.Usiache kusubscribe channel hii sasa.Ahsanteni