Channel Avatar

SIMULIZI ARENA MEDIA @UC5H2gZyXtbq_bWiA-1ZpBqQ@youtube.com

6.6K subscribers - no pronouns :c

Karibu kwenye youtube channel ya SIMULIZI ARENA MEDIA upate


Welcoem to posts!!

in the future - u will be able to do some more stuff here,,,!! like pat catgirl- i mean um yeah... for now u can only see others's posts :c

SIMULIZI ARENA MEDIA
Posted 1 year ago

Simulizi hii itaendelea kuanzia sehemu ya 11 na kuendelea,Tunaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza

6 - 0

SIMULIZI ARENA MEDIA
Posted 1 year ago

KITUO KINACHOFUATA NI HIKI HAPA

9 - 2

SIMULIZI ARENA MEDIA
Posted 2 years ago

TIMBILI LA MAPACHA NA MR MWALIMU

Hii ndiyo simulizi ambayo ipo hewani kwasasa ikiambatana na simulizi ya USILIE MAMA MWANAO NIPO HAPA ambayo inarushwa live kila siku ya jumamosi ndani ya RUBONDO FM iliyopo geita 105.3.

Asante kwa kutuvumilia kwa changamoto ambazo zilijitokeza natumai sasa tutaenda sambamba na kufurahia simulizi nzuri kutokea kwa watunzi mahiri

5 - 0

SIMULIZI ARENA MEDIA
Posted 3 years ago

BABA PAROKO SIKUTOA MIMBA YAKO,MCHUKUE MWANAO

COMING SOON

MTUNZI NA MSIMULIAJI-VICTOR MANDA

Usiache kusikiliza simulizi hii na kama bado haujasubscribe channel yetu basi bonyeza neno subscribe ili usije kupitwa na simulizi hii kali na ya aina yake

9 - 0

SIMULIZI ARENA MEDIA
Posted 3 years ago

NAKUPENDA CINDERELLA

Ni simulizi inayomuhusu kijana masikini aliyefahamika kwa jina la Alex,Alex alitokea kumpenda sana bint mrembo aliyejulikana kwa jina la Cinderella.Siku ya kwanza kukutana ilikuwa ni siku ambayo shule zao zilikuwa na mechi kali sana ya mpira wa miguu.

Alex anatokea kumsukuma binti Cinderella bila ya kujua na hapo ndipo mazungumzo yalipoanzia,Bint Cinderella anamuacha Alex akiwa ahamini kama atakutana na binti mzuri namna ile.Moyo wa Alex unatokea kumpenda binti huyo kuliko kitu chochote.

Siku zinakatika na Alex anafanikiwa kukutanishwa na binti Cinderella,lakini kilichotokea hapo ni majibu ya fedhea kutoka kwa bint huyo mrembo.Majibu yaliyomfanya Alex adondoshe chozi huku akijilaumu kwanini amezaliwa masikini.Moyo wa Alex unapigwa na ganzi na kushindwa kujua afanye kitu gain pale.Hakutaka kabisa kumpoteza bint huyo japo alijibiwa majibu ya dharau na kashfa kubwa.

Anaamua kuachana na habari za Cinderella kIsha anaamua kupambana na masomo yake huku akijiapiza kwamba lazima autafute utajiri kwa namna yoyote ile.Wahenga wanasema kwamba usije ukamdharau mtu kwenye maisha yako.Alex alikuwa na kipaji kikubwa sana cha kusakata kabumbu,kipaji kilichomfanya kuwa miongoni mwa watu waliochaguliwa kwenda nchini UINGEREZA kwaajili ya kucheza mpira na kuendelea na masomo yake.Mungu anafungua milango ya Alex na kujikuta akifanikiwa kuliteka jiji la Birmingham.

Wahenga wanasema tena Mwana kulitafuta mwanakulipata.Cinderella nae anatoka nchini Tanzania na kuelekea nchini Uingereza kwaajili ya masomo yake.Chuo alichoenda Cinderella ndiyo icho chuo alichokuwa anasoma Alex.Cinderella wakati anaingia tu chuoni alishangaa kusikia jina maarufu kwenye kila kinywa cha mtu aliyekuwa anakutana nae,siyo jina lingine bali lilikuwa ni jina la Alex kijana kutokea Tanzania aliyepata umaarufu mkubwa sana kwenye nchi hiyo ya watu.

Je Cinderella aakimuona Alex itakuwaje,je Alex atafanikiwa kumpata bint CINDERELLA

HUU ni ufupisho tu wa simulizi hii kali ya mapenzi NAKUPENDA CINDERELLA,MTUNZI NA MSIMULIAJI WA SIMULIZI HII NI MIMI VICTOR DISMAS MANDA,SIMU 0716616279.SIMULIZI HII INAPATIKANA YOTE KWENYE CHANNEL YETU YA YOUTUBE SIMULIZI ARENA.INGIA YOUTUBE KISHA ANDIKA SIMULIZI ARENA ARAFU BONYEZA NENO SUBSCRIBE KWAAJILI YA KUPATA SIMULIZI ZETU NYINGI SANA

BONYEZA LINK HAPO CHINI USIKILIZE ZOTE

NAKUPENDA CINDERELLA EP 1 LINK- https://www.youtube.com/watch?v=ujDXi...

NAKUPENDA CINDERELLA EP 2 LINK- https://www.youtube.com/watch?v=Rjuc3...

NAKUPENDA CINDERELLA EP 3- https://www.youtube.com/watch?v=wfa5h...

NAKUPENDA CINDERELLA EP 4- https://www.youtube.com/watch?v=c3ra4...

NAKUPENDA CINDERELLA EP 5- https://www.youtube.com/watch?v=TgXEg...

NAKUPENDA CINDERELLA EP 6- https://www.youtube.com/watch?v=1nbef...

NAKUPENDA CINDERELLA EP 7- https://www.youtube.com/watch?v=vk_Fc...

NAKUPENDA CINDERELLA EP 8- https://www.youtube.com/watch?v=QxT0L...

NAKUPENDA CINDERELLA-EP 9- https://www.youtube.com/watch?v=uplsg...

NAKUPENDA CINDERELLA EP 10- https://www.youtube.com/watch?v=pVGUq...

NAKUPENDA CINDERELLA FINAL- https://www.youtube.com/watch?v=MNfZP...

5 - 2

SIMULIZI ARENA MEDIA
Posted 3 years ago

kesho kunapo majaliwa tutaendelea na simulizi hii ya NDOA YA MASHAKA

SAMAHANI KWA KUCHELEWA

8 - 0

SIMULIZI ARENA MEDIA
Posted 3 years ago

HAPPY ANNIVERSARY SIMULIZI ARENA.
Uongozi wa simulizi Arena unapenda kuwashukuru wadau na wafuatiliaji wa simulizi zetu kwa kufuatilia simulizi zetu.Leo tareh 7 mwezi wa 8 tunaadhimisha mwaka mmoja tangu channel yetu ya SIMULIZI ARENA ianze kurusha simulizi katika channel yetu ya youtube.Hatuna cha kuwalipa wafuatiliaji na wapenzi wa channel yetu ila tunawaahidi kuwaletea simulizi nyingi zaidi na zaidi.
Kama bado haujasubscribe channel yetu ni vyema ukafanya hivyo ili usipitwe na simulizi zetu.ingia youtube kisha andika SIMULIZI ARENA arafu bonyeza neno subscribe
SIMULIZI ZINAZOPATIKANA KWENYE CHANNEL YETU NI.
NAKUPENDA CINDERELLA.
MOYO WANGU KIAPO CHANGU.
NEVER SAY GOODBYE
SAFARI YA YATIMA
MUUAJI MWENYE BARAKOA.
JINI SANDRA.
USILIE MAMA MWANAO NIPO HAPA.
SHERIA KIPOFU
NILILALA NA JINI BILA KUJUA
NDOA YA MASHAKA.
KWANINI JULIANA?
PRISCA.
CHUMBA CHA JIRANI.
NIRAMBE HUMOHUMO.
JAMANI BINAMU.
ULIKUFA KWA UMASIKINI WANGU.
NA SIMULIZI NYINGINE NYINGI.

4 - 4

SIMULIZI ARENA MEDIA
Posted 3 years ago

MPYAAAAA-KWANINI JULIANA?

MAMBO YANAZIDI KUWA MAMBO SASA KATIKA CHANNEL YETU,TUKIWA TUNAENDELEA NA SIMULIZI YA NDOA YA MASHAKA HUKU SIMULIZI YA MTOTO MALATWE ,MWALI WA KITANGA PAMOJA NA NYUMBA NAMBA 75 ZIKIWA ZIMESIMAMA KUTOKANA NA SABABU ZILIZOKUWA NJE YA UWEZO WETU BASI TUMEAMUA KUKULETEA SIMULIZI NYINGINE HII INAYOKWENDA KWA JINA LA KWANINI JULIANA.USIACHE KUFUATILIA SIMULIZI HII ITAKAYOANZA HIVI KARIBUNI.

MTUNZI NA MSIMULIAJI-VICTOR
NDOA YA MASHAKA BADO INAENDELEA NAYO USIACHE KUIFATILIA

8 - 0

SIMULIZI ARENA MEDIA
Posted 3 years ago

NDOA YA MASHAKA COMING SOON

MTUNZI NA MSIMULIAJI NI MODESTA KALAGE.KAA MKAO WA KULA

USIACHE KUSUBSCRIBE CHANNEL YETU

8 - 2

SIMULIZI ARENA MEDIA
Posted 3 years ago

Kesho kunapo majaliwa tutaendelea na simulizi yetu ya MTOTO MALATWE sehemu ya 4.Poleni sana kwa usumbufu uliojitokeza

6 - 2