Maono ya huduma hii ya Jesus Restoration Centre ni “kuwaimarisha watu wa Mungu kupitia maombi, sifa, kuabudu na neno la Mungu”. Tunakujenga kwa neno la Mungu ili umiliki Baraka zako (Matendo ya Mitume 20:32). Makao Makuu ya kanisa yapo Kirumba Polisi mwisho wa Lami, Wilaya ya Ilemela, mkoa wa Mwanza, nchi ya Tanzania.