Channel Avatar

jikoni kwa mama Swaumu @UC0-YOPcJ2-tMDxCcggguk0A@youtube.com

4.2K subscribers - no pronouns :c

Napika kwa kutumia vyombo na majiko ya kawaida tulivyonavyo


04:15
Jinsi ya kupika muhogo wa nazi kwa samaki mbichi/cassava recipes/kufanya samaki mbichi asivurugike
04:09
Jinsi ya kupika tambi za maziwa/tambi za custard
03:45
jinsi ya kupika miguu ya kuku na vichwa,swahili foods/Tanzanian Street food.
05:10
jinsi ya kutengeneza juisi za biashara za 100/biashara ya juisi fursa kipindi cha jua mtaji kidogo.
03:57
Jinsi ya kupika bagia za kunde/black eyed peas bajia/bajia recipes.
03:15
Jinsi ya kupika Alkasusi au Alkasusu mujarab nyumbani/mpikie hivi alkasusu mumeo/Alkasusu tea.
05:47
jinsi ya kupika matembele pro /mboga ya majani/green vegetables
05:02
jinsi ya kupika pweza mkavu wa nazi/dry octopus 🐙 in coconut milk.
05:01
Jinsi ya kubanika samaki kibambala/kumuandaa kibambala /kubanika samaki/smoked fish
04:29
Shule zinafunguliwa jinsi ya kupika mchelemchele kwa ajili ya biashara ndogondogo shuleni.
15:04
Safari yangu ya youtube ndani ya mwaka mmoja/kiasi gani nimelipwa/hatua za kufuata mpaka unalipwa.
03:36
jinsi ya kupika supu ya utumbo/beef tripe soup/supu chapati
09:53
Jinsi ya kupika keki ya birthday ya ngazi mbili kwa wanaoanza/two tier cake decoration for beginners
08:42
Jinsi ya kupika na kupamba keki ya redvalvet kwa wanaoanza/redvalvet cake decoration for beginners
10:49
Jinsi ya kupika kupamba keki ya chokleti nyumbani wanaoanza/chocolate cake decoration for beginners
11:25
jinsi ya kupika na kupamba keki nyumbani kwa wanafunzi/homemade cake decoration for beginners.
08:21
Jinsi ya kutengeneza ubuyu wa Zanzibar wa kukauka hapo hapo na wakuusubiri kidogo/mabuyu/baobabnuts
09:53
Maendeleo ya bustani yangu/kupika maharage niliyolima mwenyewe/jinsi ya kupika maharage mabichi.
04:16
Jinsi ya kukaanga ndizi tamu sana/ndizi za kukaanga/fried plantains/fried banana
09:04
Jinsi ya kupika keki ya nazi nyumbani/homemade coconut cake from scratch.
04:42
Jinsi ya kutengeneza jam ya fenesi nyumbani/home made jackfruit jam from scratch.
04:31
Jinsi ya kupika nyama ya kusaga/minced beef stew/ mboga ya nyama ya kusagwa.
06:39
Bustani yangu ya mazao ya chakula/kupalilia Bustani/meet my garden/weeding/Bustani ya mama Swaumu.
07:01
jinsi ya kupika/kuoka keki ya kuchambuka bila kutumia vikombe vya kupimia au mizani ya kupimia/cake.
06:43
Jinsi ya kutengeneza juisi ya ndizi/Togwa ya ndizi/mlamba/homemade bananawine not/traditional drink
05:05
Jinsi ya kupika makange ya samaki kwa sosi ya ukwaju/samaki wa ukwaju/sato makange/Tumarind fish.
05:16
Jinsi ya kupika samaki wa kubanika/kibambala/samaki mkavu/how to cook smoked fish
08:33
Jinsi ya kutengeneza togwa nyumbani/Togwa la mtama/kinywaji cha asili/Traditional drink.
05:34
Jinsi ya kupika makange ya nyama ya mbuzi/makange recipe/beefstew
04:09
Jinsi ya kupika chai ya rangi ya viungo bila kutumia majani ya chai/kuandaa viungo vya chai.Tea
04:57
Jinsi ya kutengeneza juisi ya zabibu nyumbani/haina kilevi/homemade grapes juice/wine not.
18:01
Jinsi ya kuandaa kisinia cha vitafunwa/kisinia cha vitafunio/snacks plate.
11:30
Jinsi ya kuandaa kisinia nyumbani/kisinia cha chakula/kisinia rahisi/kisinia bei nafuu/Plate of food
05:02
Jinsi ya kupika supu ya samaki/mchemsho wa samaki/fish recipes.
06:02
jinsi ya kupika supu ya boga tamu/pumpkin soup/pumpkin recipe.
09:33
Jinsi ya kupika boga la nyama ndani/beef pumpkin/luwombo/chakula cha asili.
05:18
Jinsi ya kupika rosti ya filigisi za kuku tamu laini/chicken gizzard recipe very tender.
08:31
jinsi ya kukaanga mihogo laini/mihogo fresh kutoka shambani kwangu/how to fry cassavas from scratch
06:08
jinsi ya kukaanga vibawa vya kuku vikavu/crispy chicken wings
06:04
Jinsi ya kutengeneza tomato sosi nyumbani rahisi sana/Homemade simple tomato sauce.
09:10
Jinsi ya kupika keki ya chokleti kwenye jiko la mkaa/chocolate cake on charcoal stove.no butter
07:42
ndizi za kusonga na kuku wa nazi/Mushed plantains with coconut chicken wings.
13:20
Jinsi ya kutengeneza viungo vya chakula nyumbani/Easy home made spices/Tumeric, Paprika na vingine.
03:17
Jinsi ya kupika dagaa wa nyama/dagaa chumvi/omena recipes
04:01
Jinsi ya kupika dagaa bila ya kuwa na uchungu/how to cook omena/no bitterness
04:56
Jinsi ya kupika ndizi utumbo/Matoke ya utumbo/how to cook plantains with tripes.
04:22
Jinsi ya kupika pilau ya njano/pilau ya manjano/Yellow pulao/Tumeric pulao.
13:23
vyakula nilivyopika siku ya Idi/pilau/viungo vya pilau/tambi za custard/usafi/living room tour/Eid.
09:01
Jinsi ya kupika biriani rahisi ya kuku/Jinsi ya kuondoa shombo ya kuku/chicken biryani
04:02
Jinsi ya kupika mchicha na nyama/mbogamboga na nyama/beef vegetables/spinach with beef/oil free.
05:01
Jinsi ya kuchoma samaki kwenye mkaa/charcoal grilled fish/sato wa kuchoma/grilled tilapia
06:24
Jinsi ya kupika Sambusa za kuku/chicken samosa
05:01
Jinsi ya kupika Senene nyumbani/Nsenene/how to cook grasshoppers at home/Senene wa bukoba.
04:01
Jinsi ya kupika njegere nzito zenye ladha/peas recipe
05:01
jinsi ya kuchoma mishikaki ya nyama kwenye mkaa bila ya kutumia jiko maalumu la kuchoma/beefskewers
05:01
Jinsi ya kupika kachori za mihogo tamu/how to cook cassava balls 😋
04:55
jinsi ya kupika kokoto za mchaichai haziumizi meno/cymbopogon chinchin/lemongrass chinchin
10:02
changamoto katika kuandaa manda/kaki za sambusa na utatuzi wake/challenges on samosa wraps making.
11:30
Jinsi ya kupika sambusa za samaki nyumbani,kuandaa manda Pembe 4 kuandaa nyama ya samaki/fish samosa
04:22
jinsi ya kupika nyanya chungu za karanga tamuu/pika hivi nyanya chungu utapenda/Ntongo.