Channel Avatar

Gospel Supporters @UCZHyE6tMDtk-TyvD9KGDH5A@youtube.com

3.3K subscribers - no pronouns :c

Amazing Star Entertainment Wakishirikiana Na director Saylla


About

Amazing Star Entertainment Wakishirikiana Na director Saylla Wanakukaribisha Kupromot Wimbo Wako Hapa Kwa Bei rahisi Utapostiwa Wimbo Wako kwenye Hii you tube channel audio pamoja Na video.

Pia tutakuunganisha Na vyombo VYA Habari Kwa ajili ya Kuifanya interview ili mziki wako ujulikane.

Pia tunafanya matangazo ya Aina zote.

Pia tunashut video za aina zote Kwa viwango vya juu kabisa karibu ubadirishe taswira ya ndoto zako na amazing star entertainment.

Pia tunafanya mahojiano/Interviews Na watumishi Wa Mungu Wachungaji,Manabii,Maproohets,Waimbaji Na Wasanii Wote Kwa Ujumla Karibu Tuzungumzie Ufalme Wa Mungu.

Kama Una Habari Yoyote Isiyo Na Uvunjifu Wa Maadiri Wasiliana Nasi Tuweze Kukusaidia Kuiwasilisha kwenye Jamii

MARKO 16:15


Wasiliana nasi Kwa Cm Namba

+255 766 641 632 / +255 744 461 632

WhatsApp Na kupiga.☎️

Jiunge na group letu la Whatsapp 👇👇👇

chat.whatsapp.com/E4PmZHoUNbZKe02hOyaVfb