Channel Avatar

HOT MAX TV @UCZ9KBWhUvzLBPGJoPkoVE2A@youtube.com

10K subscribers - no pronouns :c

Hot Max Tv inakuletea Habari zote za Siasa "Michezo "Burud


About

Hot Max Tv inakuletea Habari zote za Siasa

"Michezo
"Burudani
"Elimu
*Sayansi, Teknologia na matukio mbalimbali

TUNAZINGATIA YAFUATAYO..

1. Kuripoti habari za ukweli zenye kufuata misingi ya habari zenye uwiano na kutoa fursa sawa kwa pande zote.

2. Kusaidia kurekebisha taarifa zilizopotoshwa ili kuwapa ukweli wafuatiliaji wetu.

3. Kujiepusha na udini, ukabila au mambo yoyote yanayoweza kusababisha uchochezi.

Muongozo kwa Wafuatiliaji Wetu (GUIDELINES FOR OUR SUBSCRIBERS)

1. Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake.

2. Hot max Tv ina uhuru wa kufuta maoni yasiyo na maadili au yenye matusi.

3. Hot Max Tv ina uhuru wa kumzuia mfuatiliaji aliyekiuka masharti asiweze kuona habari zetu au kuweza kuweka maoni

MAWASILIANO

+255699541340